Polisi imefanya upekuzi katika ofisi za makao makuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kuondoka na nyaraka mbalimbali kwa ajili kupata ushahidi zaidi kuhusu tuhuma zinazomkabili Afisa wa chama hicho Wilfred Lwakatare ambaye alikamatwa na polisi kwa tuhuma za kupanga njama za kuwadhuru baadhi ya watu wakiwemo waandishi.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni