HII NI VIDEO MPYA KUTOKA KWA KUNDI LA WARRIOURS FROM THE EAST TOKA ARUSHA.
HAWA NI JAMAA AMBAO WALISHINDA TUZO YA NGOMA BORA YA REGGAE MWAKA JANA KUPITIA TUZO ZA KILI.
HUU NI WIMBO UNAOITWA KILIMANJARO AMBAO MWANZO HADI MWISHO UNAUZUNGUMZIA MLIMA KILIMANJARO ,
KWA KUTAJA SIFA ZAKE NA KUPROMOTE UTALII WA VIVUTIO VYETU NCHINI
KAMA MDAU UNAOMBWA KUIANGALIA NA KUTOA SUPPORT YAKO KAMA MPENDWA ,
MDAU NA MPENZI WA MUZIKI WA REGGAE TOKA NYUMBANI TANZANIA
3:54 Papa mpya anaonekana ni Jorge Mario Bergoglio wa Argentina ndiye papa mpya 3:50 Gwaride la heshima limejipanga na kuimba wimbo wa taifa la Vatican anasubiriwa kiongozi wa makardinali aje amtangaze papa mpya 3:30 Band maalum inaanza kupita mbele ya kanisa kuu la St. Peter Basillica ni ishara papa mpya ataonekana hivi punde 3:26 Makelele na shangwe nje ya St. Peter Basillica 3:25 Makardinali waliokuwa wamejifungia tayari wamemchagua papa mpya ambaye atamriti papa Benedect wa 16 ambaye amestaafu.
Moshi mweupe umeonekana kwenye bomba la moshi ikiwa ni ishara kuwa makardinali wamekubaliana kumchagua mmoja wao kuwa papa.
Bado papa mpya hajatokea na kujulikana ni nani lakini tayari moshi mweupe umeshaonekana. Endelea kutufuatilia tutakuletea kila kinachoendelea muda mfupi ujao
Moshi mweusi ukiashiria hakuna papa mpya aliyechaguliwa siku ya kwanza baada ya makardinali kujifungia katika hekalu maalum, huko Vatican City
Makardinali katika ibada katika kanisa la St. Peter Basillica kabla ya kujifungia kumchagua Papa hapo jana
Siku ya kwanza ya uchaguzi wa papa mpya imeanza na hakuna dalili ya papa aliyechaguliwa baada ya moshi mweusi kuonekana angani kwenye bomba la moshi.
Zoezi la kumchagua papa atakayeongoza kanisa Katoliki duniani lilianza hapa jana Vatican City kwenye jumba maarufu la Sistine Chapel ambalo hutumika kwa ajili hiyo.
Makardinali wapatao 115 akiwepo Mudhama Policarp Kardinali Pengo wa Tanzania ni miongoni mwa walikusanyika kufanya zoezi hilo.
Yoyote kati ya makardinali hao anaweza kuwa papa mpya hivyo Kardinal Pengo naye ana nafasi ya kuwa papa mpya baada ya Papa Benedict xiv ambaye amestaafu.
Kwa sasa Papa Benedict amepewa jina jipya na ataitwa Papa Emaritus au Papa Emeritus wa Roma.
Kinachosubiriwa hapo kwa sasa ni moshi mweupe ambao ndio utakaonyesha papa mpya amepatikana na kama hajapatikana baada ya kupiga kura moshi mweusi utaonekana.
Makardinali hao watakaa katika jumba hilo hadi papa apatikane. Hawaruhusiwi kuwasiliana na mtu yoyote na watakuwa wakipiga kura mara nne kwa siku.
Mudhama Policap Kardinali Pengo (kulia) leo hii akiwa na Makardinali wenzake Vitican City
Mudhama Policap Kardiali Pengo kushoto akiwa na mmoja wa makardinali hapo jana mjini Vatican
Polisi imefanya upekuzi katika ofisi za makao makuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kuondoka na nyaraka mbalimbali kwa ajili kupata ushahidi zaidi kuhusu tuhuma zinazomkabili Afisa wa chama hicho Wilfred Lwakatare ambaye alikamatwa na polisi kwa tuhuma za kupanga njama za kuwadhuru baadhi ya watu wakiwemo waandishi.
Mwanamume mmoja
nchini Afrika Kusini amekamatwa baada ya kupatikana akiwa na sehemu za
siri kwenye pochi lake ambazo zinaaminika kuwa za mpwa wake ambaye
hajulikani aliko.
Msemaji wa polisi, aliambia BBC kuwa babada ya
kukamatwa kwake , mwanaume huyo aliwapeleka maafisa wa polisi kwenye
msitu katika mkoa wa Eastern Cape, ambako mwili uliokatwakatwa
ulipatikana.
Kichwa cha msichana huyo pamoja na miguu yake ilikuwa imekatwa na zilipatikana karibu na kiwiliwili chake.
Mtu huyo mwenye umri wa miaka 42, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji.
Mmwanaume huyo alishtakiwa baada ya kushukiwa
kuhusika na kutoweka kwa msichana huyo mwenye umri wa miaka 18,
aliyepotoea katika mji wa Ngcobo siku ya Jumapili.
Msemaji wa polisi, Mzukisi Fatyela alisema kuwa sehemu hizo za siri, zilipatikana ndani ya pochi lake.
Alisema sababu ya kuuawa kwa msichana huyo haijulikani na kwamba uchunguzi unafanyika.
Alipoulizwa ikiwa mauaji hayo yanahusishwa na
waganga ambapo sehemu za mwili wa watu hutumiwa kwenye madawa yao, bwana
Fatyela alisema kuwa hawezi kubaini hilo kwa sasa.
Kumekuwa na visa vingi vya kuuza sehemu za siri za
watu katika sehemu nyingi za Afrika kwa sababu sawa na hizo.
Afrika Mashariki imeshuhudia visa vingi vya
kuuawa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi au maalbino, huku sehemu za miili
yao zikikatwa kwa sababu za kishirikina.
Mwanaume huyo anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo.
Watu wawali wamefikishwa
katika mahakama ya wilaya ya Makete kujibu tuhuma za kugushi sahihi na kuandika
mhutasari wa kikao hewa na kuchukua zaidi ya shilingi milioni mbili katika
akaunti ya mfuko wa maendeleo wa kata ya Bulongwa wilayani Makete
Mwandishi wa www.francisgodwin.blogspot.com kutoka Makete , Edwin Moshi anaripoti kuwa ,Akitoa taarifa hiyo
kwa wanahabari ofisini kwake mwendesha mashitaka wa Taasisi ya kuzuia na
kupambana na rushwa (TAKUKURU) Bw. Frednandi Nsakuzi amewataja watuhumiwa hao
kuwa ni aliyekuwa diwani wa kata ya Bulongwa Estomin Mahenge na mwenzake Edwin
Swallo ambaye alikuwa mtendaji wa kijiji cha Bulongwa ambapo mpaka anafanya
tukio hilo alikuwa anakaimu ofisi ya mtendaji wa kata ya Bulongwa
Watuhumiwa hao
waligushi sahihi na kuandika mhutasari wa kikao hewa na kwenda katika benki ya
Nmb tawi la Makete na kuchukua zaidi ya shilingi millioni mbili kwenye akaunti
ya mfuko wa maendeleao ya kata ya Bulongwa wakidai kuwa ni kwa ajili ya ujenzi
wa shule ya sekondari Usililo ambapo mhutasari huo upo TAKUKURU
Watuhumiwa hao
walifikishwa mahakamani hapo jana kwa tuhuma hizo na walikana
mashitaka yanayowakabili ambapo kesi hiyo inatarajiwa kutajwa tena Machi
23 mwaka huu katika mahakama wilaya Makete na watuhumiwa hao wapo nje kwa
dhamana
Mama
mmoja aliyeolewa na mwenye watoto watatu ambae anaishi Hull, Uingereza,
amefikishwa mahakamani baada ya kugundulika kuwa alipata ujauzito baada
ya
kufanya mapenzi kwa wakati mmoja na mtoto wa shule, mmoja mwenye miaka
15 na
kaka yake mwenye miaka 17.
Mama huyo
anaejulikana kwa jina la Claire Louise Roundil(32), alimnasa mtoto wa miaka 15
kimapenzi baada ya kumuonesha picha zake zaidi ya mia moja akiwa mtupu, picha
zilizoonesha zaidi sehemu za matiti.
Baada ya
kumteka akili na hizo picha mama huyo alimpeleka chocho na akampa huyo mtoto
share ya mmewe. Lakini aliendelea kumbadilishia location mara kwa mara ili
kumpa mzuka zaidi wa kufanya nae sex.
Ripoti ya
polisi ilionesha kuwa mama huyo alikuwa pia na mahusiano ya kimapenzi na kaka
yake huyo mtoto na alimpata kwa style ile ile kama alivyomnasa mdogo wake,
yaani kumuonesha picha zake akiwa mtupu kisha anamteka akili na kumpeleka
kajificheni kumpa burudani, na mara nyingine shughuli iliishia kwenye gari la
mama huyo.
Hata
hivyo uchunguzi wa polisi ulionesha kuwa baada ya mama huyo kupata ujauzito
ilimbidi autoe, na alipoulizwa alisema kuwa hata aliyempa mimba hamjui kati ya
hao watoto wawili kwa sababu alikuwa anafanya nao mapenzi wote.
Moja kati
ya sababu za kufanya hivyo imesekana kuwa alikuwa na matatizo makubwa katika
ndoa yake na matatizo ya kifedha ambavyo vyote viliichanganya sana akili yake.
Na hivyo
ikaonekana kuwa “She is not the type of defendant the court needs to send to
prison immediately.” Na akapewa kile
kifungo kinachoitwa kisheria “suspended sentence” baada ya kukiri tuhuma zote.
Ikimaanisha aliwekwa chini ya uangalizi mkali wa mahakama kwa muda wa miezi
tisa.
Na wakati wa kutoa hukumu jaji John Dowse
alimwambia mahakama itaweka kumbukumbu ya haya mashtaka, na kwamba ajue kuwa
anarekodi hii maisha yake yote.
Hata
hivyo baba mzazi wa wavulana hao alisikika akilalamika akisema “kama ingekuwa
ni mwanaume ndiye kafanya mapenzi na msichana wa miaka 15 angefungwa hata bila
kutia mashaka, lakini kwa sababu ni mwanamke ndo kafanya hivi kwa wavulana
kaachiwa, she took advantage of both my son, mwanangu mkubwa alipomuacha
akamrukia mdogo, alikuwa amepanga yote haya. Akamaliza kwa kusema “It was
disgusting what she did.”
Haya kila
kubwa lina Kubwa Lake, na hili ni miongoni mwa makubwa.
Ruaha national park is one of the few Tanzania’s famous
wilderness area where one can have a rare experience of game viewing
spiced up by the fascinating landscape. The park is rich of plants and
animals such as Greater Kudu (Tragelaphus strepsiceros) which can not
be found in any other national park. The park boasts of her almost
untouched and unexplored ecosystem, making visitors’ safari experience
very unique.
The Great Ruaha River as other rivers like Mwagusi, Jongomero
and Mzombe save as the life line of the park. During dry season, these
rivers become mostly the main source of water for wildlife. There are
few natural springs saving the same purpose.
In the pick of dry season, elephants obtain water from dry sand
rivers using their front feet and trunks. The remaining water falls
along the Great Ruaha River are also important habitat for
hippopotamus, fish and crocodiles.
CLIMATE
Ruaha National Park has a bimodal pattern of rain forest;
the short rainfall season begins November to February, while the long
season is between March and April. The annual mean rainfall ranges
between 500mm-800mm with the average annual temperature of about 280c.
The park experiences its dry season between June and October when the
temperature at Msembe headquarter reaches 350c.
PARK HISTORY
The park history dates back to 1910 when it was gazetted
Saba Game Reserve by the Germany then the name was changed by British
to Rungwa Game reseve in 1946. In 1964 the southern portion of the Game
was gazetted as Ruaha national park and in 1974 a small section of
South Eastern part of the Great Ruaha River was incorporated into the
park. The name “Ruaha” originates from the Hehe word “Ruvaha”, which
means “river”. Ruaha National Park is part of Rungwa-Kizigo –Muhesi
ecosystem which covers more than 45000km2. In 2008 Usangu game Reserve
and other important wetlands in Usangu basin have been annexed into the
park, making it the largest park in Tanzania and East Africa with an
area of about 20226km2.
PARKS SIGNIFICANCE
Ruaha National Park has a high diversity of plants and
animals including elephants, buffalos, antelopes and some of rare and
endangered species like wild dogs. The park serves as water shade both
for wildlife and human being. This makes it to be economically
significant as it supports agricultural activities down stream and
contributes to hydro- electric power (HEP) for the country at Mtera and
Kidatu dams.
TOURISM ATTRACTIONS
Birds
The park is one of the Tanzania birds’ paradise with more
than 571species and some of them are known to be migrants from within
and outside Africa. Migrating species from Europe, Asia, Australian rim
and Madagascar have been recorded in the park. Species of interest in
the park include Ruaha red-billed hornbill (Tokus ruahae) which is
dominant in the area. The recently annexed wetland, the Usangu basin is
one of the country’s important bird area (IBA) as recognized by
Birdlife International. Though birds can be seen all the year around,
the best time for bird watching is during the wet season.
Animals
Ruaha is believed to have high concentration of elephants
than any national park in East Africa. It is also a place where,
magnificent mammals like Kudu (both Greater and Lesser), Sable and Roan
antelopes can easily be spotted in Miombo woodland. The male Kudu have
beautiful spiraled horns while male Sable antelope have impressive
curved horns. The park is also a habitat for endangered wild dogs.
Other animals in the park include lions, leopards, cheetah, giraffes,
zebras, elands, impala, bat eared foxes and Jackals.
Reptiles and Amphibians
Apart from large animals, the park also harbors a number of
reptiles and amphibians such as crocodiles, poisonous and
non-poisonous snakes, monitor lizards, agama lizards and frogs. The
Great Ruaha and Mzombe rivers are presumably the most preferred habitat
for crocodiles.
Vegetation
The park is characterized by semi-arid type of vegetation,
baobab trees, Acacia and other species. There are over 1650 plant
species that have been identified. The park is the transitional point
of two vegetation zones, the Zambezian (characterized by Miombo
vegetation) and Sudanian (characterized by Acacia vegetation).
Historical and cultural sites
There are several historical and cultural sites in the park
which offer a visitor a chance to explore the Southern Tanzanian
tribes. The early trade routes used by the Arab caravan crossed here.
In 1830 these coastal traders expanded their routes northward, and in
year 1857 to 1858 other European explorers such as Burton and Speke
used these routes too. Chief Mkwawa used the same routes to visit his
chiefdoms in Sangu and Gogo.
The park area often hailed as the land of the brave Chief
Mkwawa, the Chief of the hehe people who resisted against the German
attack in the late 19th century. The fierce and successful battle
tactics against the German invasion made the Hehe tribe famous in the
Southern highland of the then Tanganyika (Tanzania). The Hehe tribe
under the leadership of chief Mkwawa was dominant around the Ruaha
area. Some of the outcrops in the area are known as hiding places of
chief Mkwawa who went into hiding after the fall of his empire (kalenga)
to the German in 1894.
In brief, it is believed that, this ancient land (Ruaha National Park) holds many secrets of chief Mkwawa.
Some of the cultural sites that were used for rituals are “Ganga
la Mafunyo”, Nyanywa and Chahe, Painting rock at Nyanywa, the “Gogo”
chief “Mapenza” grave at Mpululu and “Mkwawa” spring area believed to
be used by Chief Mkwawa. Other historical sites near the park include
Isimila pillars near Iringa town, Kalenga, Mlambalasi, Lugalo and God’s
bridge just to mention a few.
Physical feature
Ruaha National Park has a wide range of physical features
from the Great Rift Valley, river systems, natural springs, wetlands,
hot water springs, and kopjes to the beautiful rolling hills and
mountains.
Rivers
The river systems and watershed are of economical, social
and ecological significance for the park itself and country at large.
Main rivers include the Great Ruaha, Mzombe, Mdonya, Mwagusi and
Jongomero.
Rift valley
The Great Rift Valley crosses the park. The escarpment
wall along the western valley side is about 50-100m high in the
north-eastern parts, increasing in height to the southwest. It is
considered that, the valley of the Great Ruaha River is an extension
of the Great Rift Valley. The Great Ruaha River flows for 160km long
along the entire eastern boundary through rugged gorges and open plains.
Natural springs
They occur throughout the park and they are associated with
the base of the Western Rift Valley escarpment, most notably Mkwawa,
Mwayembe, Makinde and Majimoto springs. These are dry season refugees
for wildlife and when most of the rivers get dry.
Undulating landscape
The park has undulating land and hills including
kilimamatonge, Nyamasombe, Nyanywa, Chariwindwi, Igawira, Mwayiui,
Kibiriti, Magangwe, Ndetamburwa and Isukanvyiola. These act as kopjes
creating good habitat for animals such as klipspringer which normally
can be seen in some of these hills.
TOURISM ACTIVITIES
Tourism activities in the park include Game viewing, long and
short wilderness walking safari, bird watching, picnic, bush meals
(break-fast, lunch, dinner) in the untouched bushes.
Best time to see the wildlife
Best time to see predators and large mammals is during the dry season (mid May-December).
The wet season (January –April) is best for bird watching, lush
scenery and wildflowers. The male Greater kudu is most visible in June
which is their breeding season.
How to get there
By air
There are both scheduled and chartered flights into the
park mainly from Arusha, Dodoma, Kigoma and Dar-es-salaam. Park’s
airstrips are located at Msembe and Jongomero
By road
It is about 130km drive from Iringa town and 625km from Dar-es-salaam city.
The road into the park is passable throughout the year.
Accommodation
There are park and privately owned facilities
Park facilities
Are as follows
Self catering tourist bandas
Special camping sites
Public camping sites
Rest house
Hostel for school groups
Park cottages
Family cottage
Single room with sitting room
Single room without sitting room
Private facilities
Inside the park
There are several luxury tented camps operating in the park such
as Jongomero, Kigelia, Mwagusi safari, Old Mdonya River, Kwihala and
Flycatcher and one lodge namely Ruaha River lodge. These are privately
owned. Outside the park
There are several accommodation facilities just outside the park:
these are hill top lodge, Sunset lodge, Tandala tented camp to mention a
few.
General Park Rules and Regulations
Kindly abide to the following park rules and regulations
Do not disturb or feed animals.
Do not make noise or any sort of disturbance which offend other visitors
Do not pick or destroy flowers and plants
Littering, burning cigarettes or matches is strictly prohibited
Pet are not allowed in the park
Never go for a walking safari without park official armed guides/rangers
Always stay on the authorized trails during walking safaris
Hunting, collection of plant and animal samples is not allowed
Tourism activities should be conducted between 6am and 7pm.
For the rest of the time, visitors are expected to be in their
accommodation places (i.e. lodges, camps and/or campsites)
Off road driving is strictly prohibited
The management and staff of Ruaha National Park welcome you and hope you will enjoy your stay in the park